mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kabisa kwanza matumizi kdg yanakuwa chiniKwa mangi ndio penyewe
Alafu hkuna kuchomekeana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kwanza matumizi kdg yanakuwa chiniKwa mangi ndio penyewe
Nmetoka nimeingia kijiwe cha hku BrazilKwa mangi ndio penyewe
Ukiishiwa unaandika ktk kidaftariKabisa kwanza matumizi kdg yanakuwa chini
Alafu hkuna kuchomekeana
Ova
Walipa kodi tupeane location jamani
Mmmmmh hivi vitu vinaendana kweli? Eti Mkate kwa bia ? Hii nayo mpyaa.
Dukani hapo mzee babaMmmmmh hivi vitu vinaendana kweli? Eti Mkate kwa bia ? Hii nayo mpyaa.
[emoji16][emoji16]Plisner 5% Alcohol
Hpa tmerudi kwa mangi ila bia za ku simama😀😀😀 unautani na katibu mdau.
Hshahaaaa! Hspo shida!!Ntazuru siku moja!
Mimi leo mangi kaniachia uwanja....open game....[emoji23] kichaa kapewa rungu
Ova
View attachment 912504
Mzee we kiboko ,unalipa sana kodiNiko ka grocery moja ufipa kuna wahudumu wake wagumu kichizi
Wako kama midume nmekja kuwaletea uzushi
Ova
Hapa kuna sista mmja wa mjini Sana kaja kunipa bia ........aise ananipa story hapaMzee we kiboko ,unalipa sana kodi