kisikiji
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 2,530
- 2,494
Vipi unapan dish nini?, level itasoma kweli?.Sahv nko na kijukumu fulani
Kna Kimeo nakimalizia....bdy kma Kawa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi unapan dish nini?, level itasoma kweli?.Sahv nko na kijukumu fulani
Kna Kimeo nakimalizia....bdy kma Kawa
Ova
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Minara hyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Kijikazi fulani .....maana jna nliingia ndani 11 alfajiri....nkazimua 1 tuVipi unapan dish nini?, level itasoma kweli?.
Mkuu haya Mambo yet wakulima, nikiwaga nna mpunga wa kusuasua mfukoni naonaga Bora nipige ramli ya safari lagerJamaa atakua ENG nini? Itakua anapan dish.
Hpo kna minara ya voda tigo airtel halotel [emoji23] [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalia Leo usije usije piga ramli chonganishi mjumbe.Mkuu haya Mambo yet wakulima, nikiwaga nna mpunga wa kusuasua mfukoni naonaga Bora nipige ramli ya safari lager
Hakuna kabisa maimoria hapa nje ya soko.Kiwanja gani hpo
Vp hkuna usumbfu wa wazee[emoji23] [emoji23]
Ova
Mi bila kuzimua naweza sahau nywila hakika.Kijikazi fulani .....maana jna nliingia ndani 11 alfajiri....nkazimua 1 tu
Ova
Karibu sanaKaribuni wote. Leo nimeamua na mimi nianze kupost baada ya kuona thread imenoga na watumiaji wa vinywaji pendwa tukiendelea kutoa ushirikiano ulio tukuka.
Michongo imeisha mapema tumeanza masanga mapema. View attachment 915950
Nimejibu kumbe sikuulizwa Mimi, sijui ni utamu wa kili?.🙄😀😀Hakuna kabisa maimoria hapa nje ya soko.
Nawakitokea unawatuliza na kischana wanatembea mbaya ni kuwaletea nyodo tu. Mbona nawenyewe wanalipa kodi sana tu.
Safiii! MapemaaaMuda huuuu.View attachment 915990
Hii alhaji hapa mkuu maeneo ya bunazi kagera, wazee hawafikiKiwanja gani hpo
Vp hkuna usumbfu wa wazee[emoji23] [emoji23]
Ova
Hahaha, mkuu safari haiongopi. Na hizi smartphone dictionary zinazingua, nimemtumi mamimkwe sms kumwambia nawapenda wote eti eenda "nawat***mba woote.."Angalia Leo usije usije piga ramli chonganishi mjumbe.
Hahahahah dooh,kosa la mwaka hilo mjumbeHahaha, mkuu safari haiongopi. Na hizi smartphone dictionary zinazingua, nimemtumi mamimkwe sms kumwambia nawapenda wote eti eenda "nawat***mba woote.."
😀😀😀.Hahaha, mkuu safari haiongopi. Na hizi smartphone dictionary zinazingua, nimemtumi mamimkwe sms kumwambia nawapenda wote eti eenda "nawat***mba woote.."
Nipo makini sana mkuuSafi sana usisahau kunakuchomekewa bili..
Tupo pamoja mkuuSafi Safi
Ova
Acha ru mkyuuHahahahah dooh,kosa la mwaka hilo mjumbe