Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Tuna upendo sana sisi ,Mungu atubarikiFasta mlipa kodi kwa maendeleo ya wote
UNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWEKwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Hapa sio pake mpya utapigwa kokotoUNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWE
ANGLIZO MPE MHUSIKA MMIMINIE KIIZIBO CH SODA KWENYE BIA USIOGOPE REACTION ZAKE HALIILE ITAMSAHAULISHA MAPEMA
WENU
MHANDISI
Pdidy naona mwandiko unazidi kuboreka[emoji3]UNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWE
ANGLIZO MPE MHUSIKA MMIMINIE KIIZIBO CH SODA KWENYE BIA USIOGOPE REACTION ZAKE HALIILE ITAMSAHAULISHA MAPEMA
WENU
MHANDISI
Kuna Wakati ukisoma mwandiko wa Pdidy Mzee wa Top Garage mishipa ya kichwa lazima ikutoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
why?????????????Kuna Wakati ukisoma mwandiko wa Pdidy Mzee wa Top Garage mishipa ya kichwa lazima ikutoke
Rehema unaonekana umeupenda huu uzi, tafuta michango yake ya nyuma utauona mwandiko wa nguli wa jf bwana pdidywhy?????????????
sasa robet unamaanisha huelewi huo mwandikoRehema unaonekana umeupenda huu uzi, tafuta michango yake ya nyuma utauona mwandiko wa nguli wa jf bwana pdidy
Nambie PdiddyUNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWE
ANGLIZO MPE MHUSIKA MMIMINIE KIIZIBO CH SODA KWENYE BIA USIOGOPE REACTION ZAKE HALIILE ITAMSAHAULISHA MAPEMA
WENU
MHANDISI
Tafuta michango yake ya nyuma , utapendasasa robet unamaanisha huelewi huo mwandiko
Duh top garage tangi bomu nlikimbiaga billKuna Wakati ukisoma mwandiko wa Pdidy Mzee wa Top Garage mishipa ya kichwa lazima ikutoke
Pdiddy sjui kastafu tungi au [emoji23] [emoji23]Tafuta michango yake ya nyuma , utapenda
Nko na mzee ndumbati mstaafu wa konyagi enzi hzo kambarage wao ndy wasomi wa kwanza kwanza tupo tunapiga nyagi tunabadilshana mawazoUkifika baobab usinyoroshe pinda kulia