Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
UNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWE

ANGLIZO MPE MHUSIKA MMIMINIE KIIZIBO CH SODA KWENYE BIA USIOGOPE REACTION ZAKE HALIILE ITAMSAHAULISHA MAPEMA

WENU
MHANDISI
 
Hapa sio pake mpya utapigwa kokoto
 
UNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWE

ANGLIZO MPE MHUSIKA MMIMINIE KIIZIBO CH SODA KWENYE BIA USIOGOPE REACTION ZAKE HALIILE ITAMSAHAULISHA MAPEMA

WENU
MHANDISI
Pdidy naona mwandiko unazidi kuboreka[emoji3]
 
UNATAKAA NDUGUYO AMA.WEWE KUACHA POMBE NENDA KIBAHA ULIZIA KITUOM WAPI UNAPATA MAZIW YA NGURUWE

ANGLIZO MPE MHUSIKA MMIMINIE KIIZIBO CH SODA KWENYE BIA USIOGOPE REACTION ZAKE HALIILE ITAMSAHAULISHA MAPEMA

WENU
MHANDISI
Nambie Pdiddy

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapinga 1 mwenyekiti

Ova
20181101_141226.jpg
 
Kuna Wakati ukisoma mwandiko wa Pdidy Mzee wa Top Garage mishipa ya kichwa lazima ikutoke
Duh top garage tangi bomu nlikimbiaga bill
Pale nlikuwa pale wakaja wadada wakataka ni chuna wao ilikuwa mwendo Savanah Heineken Hennessy nlivyona wanataka kanipiga nakaaga naenda toilet nkawachia Kimeo cha 210000[emoji23] [emoji23] mm ndukiii mpka leo hawana hamu na mm

Ova
 
Back
Top Bottom