Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Duu wadau nahisi kilinge kimevamiwa... Naona vichambo vinaendelea.. Walevi hatuna hizi tabia..! Wametoka wapi hawa?
Tumevamiwa@mwenyekiti mshulikie haraka sana Huyu mtu mpige kipapai

Ova
 
MRANGI
BAMPAAA LISHAACHANGANYAAA NGOJA NAMIE NIAGIZE BURUDANI KIKOSIKAZII.....


UGANDA KUNA NYOKO ANAITWA WARRAGI AISEE UKICHANGANYA NA BOND SEVEN LAZIMA ATOTOE SIKUHIOO
Wasalimie wazee wa kisementi hapo kla

Ova
 
Please please , tunaombeni mtuache wanywaji tuendelee kujadili vinywaji vyetu pendwa humu.Michambo na vijembe humu hatujazoea kwa kweli
Kuna mdandiaji anavizia Meza yetu imepidi nyagi tuifiche kimtindo [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20181101_153303.jpg
 
Juzi kanikuta kilingeni , ananiambia kaanza dozi ya tb anataka hela ya kula
Mzushi sana zamani sana tulijifungia sehemu tunapiga vyombo saa nne asubuhi si akatuletea pira kuchomesha ila tulimalizana na wazee papo hapo wazee kama kawaida yao hawana Siri wakamtaja[emoji23] [emoji23] deo tukamtafuta wacha achezee nakoz
Ila siku hzi kabadilika

Ova
 
Back
Top Bottom