Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
hivi jamani serengeti light huwa ni bia??
Naweka akili sawa[emoji23] [emoji23]
Ova
dah niliwahi kunywa nikajikuta kreti ya pili iko nusu halafu kichwa ndo kwanzaaaHahahah kunywa ukiwa na njaa mkuu.
Aiseedah niliwahi kunywa nikajikuta kreti ya pili iko nusu halafu kichwa ndo kwanzaaa
dah niliwahi kunywa nikajikuta kreti ya pili iko nusu halafu kichwa ndo kwanzaaa
“I don't think u've drunk enough beer to understand that.”Mkuu hilo ni tumbooo au pipaa! Hahahah.
“I don't think u've drunk enough beer to understand that.”
Muhimu mm leo nmeulkula ugali na mboga za majani za kutoshaJamani walipa kodi msisahau kula[emoji4]View attachment 919082
Nakuja katibu