Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunalala sema tunatofautiana muda hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu Chamani maana wengine majirani washachokaaaa na life zetu wanasema hatulali.......
Ova
Tunalala sema tunatofautiana muda hahahahahah
Sura ya mlevi![emoji116][emoji4][emoji4][emoji4]Tunalala sema tunatofautiana muda hahahahahah
Rafiki upo pande zipiHahahaha
Sura ya mlevi![emoji116][emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 919477
Rafiki karibu ulabu![emoji4][emoji4][emoji4]Mzee wa chura . Achana na sura halisi ya dunia we pambama na chura
Nimekubali pombe ni pendwa, watu wanatiririka series tu, watu wanakunywa tu, watu wanazimua na mm nimo. Leta King Robert kwa meza.Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Duh ndy naingia ndani saa kumi hii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunalala sema tunatofautiana muda hahahahahah
Pande zipi nije [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tume washa
View attachment 919539
mbali sana mzee baba, sipo dizimPande zipi nije [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeingia ndani sahv saa kumi hii alfajiri
Ila natka toka tena
Ova
Duh hpa nko bwaxxxx mbaya natafuta nkapige 1 for the road nirude tenambali sana mzee baba, sipo dizim
katibu mi dar siijui vizuri, ila nathani wadau wata kusaidiaDuh hpa nko bwaxxxx mbaya natafuta nkapige 1 for the road nirude tena
Nie peni code wapi ntampata bia sahv saa kumi na moja hii
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]katibu mi dar siijui vizuri, ila nathani wadau wata kusaidia
katibu hii ya kujua geo location yangu ina nipa ukakasi kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mk 1 ngj niende [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko chuga mjumbe
Ova