Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

katibu hii ya kujua geo location yangu ina nipa ukakasi kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa poa......hpa nko ndki mbaya
Nataka nionganishe ngj niende mk kwa mzee mrema nkawaleteee uzushi nipige bia 1 2
Nirudi home

Ova
 
work hard party even harder
Yeah we work hard kwann tusijiachie
Hakuna anayetulisha hakuna anayetupa hela tunatafuta kivyetu hatutegegemei nssf ppf sisi wnyewe ndy kila kitu
So acha tutumieee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
katibu hii ya kujua geo location yangu ina nipa ukakasi kidogo
Navuta muda saa moja kna mzigo natakiwa kwenda pokea ubungo unajua nafanya biashara ya iriki so nakusanya tanga mlima ya usambara....nkipokea nafsulisha hko hko natuma mombasa leo ndomana Siwezi kulala sahv.....

Ova
 
Nimekubali pombe ni pendwa, watu wanatiririka series tu, watu wanakunywa tu, watu wanazimua na mm nimo. Leta King Robert kwa meza.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha asubuhi
IMG-20181103-WA0002.jpeg
 
Navuta muda saa moja kna mzigo natakiwa kwenda pokea ubungo unajua nafanya biashara ya iriki so nakusanya tanga mlima ya usambara....nkipokea nafsulisha hko hko natuma mombasa leo ndomana Siwezi kulala sahv.....

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuna faranga ya kulipia kodi hakuna mbaya
Bank za bongo za huwa zisielewi nlijuaaa watafungua saa mbili na nusu nakuta eti mpk saa Tatu na nusu washaaribu program yangu ahhhh
Sisi tunalewa tunadamka mapema tunafanya mambo yetu kama Kawa
Benki zifunguliweee saa moja ikiwezekana

Ova
20181103_085622.jpg
 
OvaView attachment 919666
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kero ya kulindiwa pesa zako mwenyewe
 
Back
Top Bottom