Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitoto kame furahi sanaaa
Sema Anasema kwanini nalewa sana siku mjibu

Ova
Ina maanisha anakuonaga na alikuwa anatamani akuongeleshe, msaada uliompa ni mkubwa sana Katibu.
 
Nimeanza hivi
20181103_141900.jpeg
 
Mkuu kila nikiona huu uzi nakumbuka ahadi niliyopewa na rafiki yangu wa kale kwamba nikifanikiwa kuacha pombe ataninunulia kreti moja ya bia kama pongezi! Walevi hoyeee!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1541002525781.gif
 
Bilali mshnz kwenye grocery ya rose alizingua nkamleta malori mbele ya Akina wema na aisha mashauzi siku hyo
Ni marehemu ila alikuwa mshnz

Ova
Unamkumbuka na aunt abuu wa mtaa wa Wibu kinondoni? Grocery yake ilikuwa funika bovu
 
Bilali mshnz kwenye grocery ya rose alizingua nkamleta malori mbele ya Akina wema na aisha mashauzi siku hyo
Ni marehemu ila alikuwa mshnz

Ova
Kuna Wakati alikuwa anasikika kwenye vyombo vya habari kuwa ameacha tabia yake Wakati alikuwa anaendelea nayo
 
Kuna Wakati alikuwa anasikika kwenye vyombo vya habari kuwa ameacha tabia yake Wakati alikuwa anaendelea nayo
Siku hyo tumekwenda pale Kuna jamaa yngu alitaka glass ya nyagi bilali akaongea shit
Mm nainuka Nkaenda mtiaa vibao
Rose yule akamaindi nkamwambia waache ungese grocery ya bilali au yko

Ova
 
Back
Top Bottom