Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ule mkono wa sotojo ndio huu sasa
IMG_20181103_095531.jpg
 
Nimekaaa kwa mangi muda tu opposite kuna ka toto ka Kike alikuwa anachora ukuta yaani ana act kama mwalimu yuko ubaoni
Nlimfata akaniambiaaa anapenda sana aje kuwa mwalimu.....binafsi toka moyoni nilimwelewa......maana ana ndoto za kuwa mwalimu
Aise kwenye pilika zetu za tungi tunakutana na mambo mengi

Ova
20181103_105950.jpg
 
Mwenyekiti hyu mtoto Kako smart sana
Kanipiga maswali kadhaa kwenye mazungmzo yetu [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kako vzuri
Ila anapenda awe mwalimu nimefata mpaka kwa mama yake ambaye ni mama ntilieee
Nimemtoaaa 50000/ kiroho Safi mbele ya mzazi maana nimeipenda jinsi hyo binti alivyo unajuaa analelewa kwenye maisha ya shida lkn the way alivyo anayoishi kanajielewa [emoji2] Kako smart

Ova
20181103_111029.jpg
 
Nimekaaa kwa mangi muda tu opposite kuna ka toto ka Kike alikuwa anachora ukuta yaani ana act kama mwalimu yuko ubaoni
Nlimfata akaniambiaaa anapenda sana aje kuwa mwalimu.....binafsi toka moyoni nilimwelewa......maana ana ndoto za kuwa mwalimu
Aise kwenye pilika zetu za tungi tunakutana na mambo mengi

Ova
View attachment 919872
Daaa....vyombo vyako kaviona?
 
Inaitwa street university
 
Mwenyekiti hyu mtoto Kako smart sana
Kanipiga maswali kadhaa kwenye mazungmzo yetu [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kako vzuri
Ila anapenda awe mwalimu nimefata mpaka kwa mama yake ambaye ni mama ntilieee
Nimemtoaaa 50000/ kiroho Safi mbele ya mzazi maana nimeipenda jinsi hyo binti alivyo unajuaa analelewa kwenye maisha ya shida lkn the way alivyo anayoishi kanajielewa [emoji2] Kako smart

Ova
View attachment 919903
Mungu akubariki sana katibu utafika mbinguni wanywa shurubati na soda wangetoa sana isingezidi buku
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitoto kame furahi sanaaa
Sema Anasema kwanini nalewa sana siku mjibu

Umefanya vema sana.. Umemuachia tafakuri kubwa sana
 
Back
Top Bottom