Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmerudi kwa mangi mwanangu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kero ya kulindiwa pesa zako mwenyewe
Nimekaaa kwa mangi muda tu opposite kuna ka toto ka Kike alikuwa anachora ukuta yaani ana act kama mwalimu yuko ubaoniMusuli
Mwenyekiti hyu mtoto Kako smart sanaMusuli
Daaa....vyombo vyako kaviona?Nimekaaa kwa mangi muda tu opposite kuna ka toto ka Kike alikuwa anachora ukuta yaani ana act kama mwalimu yuko ubaoni
Nlimfata akaniambiaaa anapenda sana aje kuwa mwalimu.....binafsi toka moyoni nilimwelewa......maana ana ndoto za kuwa mwalimu
Aise kwenye pilika zetu za tungi tunakutana na mambo mengi
Ova
View attachment 919872
Kavionaaaa washanizoeaaaa vurugu zanguDaaa....vyombo vyako kaviona?
Bandidu ka tsotsi.
Wanywaji wabarikiwe..! [emoji144][emoji144][emoji144]Pombe na ilaaniwe
View attachment 919982
Inaitwa street universityNimekaaa kwa mangi muda tu opposite kuna ka toto ka Kike alikuwa anachora ukuta yaani ana act kama mwalimu yuko ubaoni
Nlimfata akaniambiaaa anapenda sana aje kuwa mwalimu.....binafsi toka moyoni nilimwelewa......maana ana ndoto za kuwa mwalimu
Aise kwenye pilika zetu za tungi tunakutana na mambo mengi
Ova
View attachment 919872
Imetujengaaa mpaka sahv tumekuwa mangilaaamaaInaitwa street university
Mungu akubariki sana katibu utafika mbinguni wanywa shurubati na soda wangetoa sana isingezidi bukuMwenyekiti hyu mtoto Kako smart sana
Kanipiga maswali kadhaa kwenye mazungmzo yetu [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kako vzuri
Ila anapenda awe mwalimu nimefata mpaka kwa mama yake ambaye ni mama ntilieee
Nimemtoaaa 50000/ kiroho Safi mbele ya mzazi maana nimeipenda jinsi hyo binti alivyo unajuaa analelewa kwenye maisha ya shida lkn the way alivyo anayoishi kanajielewa [emoji2] Kako smart
Ova
View attachment 919903
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu akubariki sana katibu utafika mbinguni wanywa shurubati na soda wangetoa sana isingezidi buku