Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Narudisha nchi kwenye misingi kwa kutumia formula za mkemia mkuu...
20181104_200941.jpeg
20181104_200636.jpeg
 
Batch ya pili imebidi kubadili mchanganyiko wenye tonic na kuweka bitter lemon baada ya tonic kuniujumu kwa kukata kilevi changu cha kwenye kasichana.
20181104_220115.jpeg
 
Hizi konyagi fake ngoja nikapige jack Daniel home nipate usingizi batch ya tatu bado nina haiba usoni wa mbele yangu namuona vizuri..shenzi kabisa..kesho namcall mdau wa konyagi anieleze ukweli wa hii mambo...
20181104_224116.jpeg
 
Back
Top Bottom