Acha kabisa leo nimetoka kanisani sijarudi home hadi mida hii kijiwe kimechanganya
Hahahaha, Rafiki acha utaniHujatuma rafiki hahahahah
Hahahaha, mpira umeisha kapigwa MTU 3-1Acha kabisa pombe tamuuuu
Sijapata rafiki
Hahahaha, mpira umeisha kapigwa MTU 3-1
Kwani Rafiki unapenda mpira? Tp mazembe (3) vs As vita club (1)
Ni mmojawapo pia hongera
Nishaachiwa nmepata viza[emoji23] [emoji23]Acha kabisa pombe tamuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Batch ya pili imebidi kubadili mchanganyiko wenye tonic na kuweka bitter lemon baada ya tonic kuniujumu kwa kukata kilevi changu cha kwenye kasichana.View attachment 921533
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi konyagi fake ngoja nikapige jack Daniel home nipate usingizi batch ya tatu bado nina haiba usoni wa mbele yangu namuona vizuri..shenzi kabisa..kesho namcall mdau wa konyagi anieleze ukweli wa hii mambo...
View attachment 921566
Kwakuwa nyagi sio shurubati