Kipo mkuuMkuu hicho kijiwe bado kipo, nimekumbuka mbali sana na ile mboga yetu pendwa!
Hahhaha imi apa mghoshiWeshu ng'wenetu...!
Hiyo simu gani jamani ebu piga picha vizuriLibeneke limeanza
OvaView attachment 923589
Mlipa kodi naendelea kulipa kodi naona nawafanya mjihisi mna hangover ntatafuta sim nzur mnisamehe walipa kodi
Ova....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo picha ni macho yangu yana giza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi na comment zangu zinakuja na giza giza walipa kodi
Ova
Halafu za mavumbini zinanoga
Halafu za mavumbini zinanoga
Haya mipango ianze sasa mweka hazina nakusubiriDuh itakuwa balaaa
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzabondea[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mm nazipenda beer za mavumbini jamaniKama kwa Shayo, hahahaha
Hahahaha, mavumbini ndio mwake ,ila we si wa buckets ?Yaani mm nazipenda beer za mavumbini jamani
Dah mzingaaa wa kwanza tumeukataaa nmesahau kukutupia picha uji nafsiAsante sana kwa kujali katibu
Ungenisoma ile siku nilichoongea ungenielewa kabisaHahahaha, mavumbini ndio mwake ,ila we si wa buckets ?
Labda na yenyewe ina hangover [emoji28][emoji28][emoji28]Hiyo simu gani jamani ebu piga picha vizuri
Juzi ule upepo pale beach uliniponza sana yaan kitendo cha kutoka pale ndipo nilipojua nahitaji msaada wa kupelekwa nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]
Bar hawatakiwi kutuzoea sanaHahahaha, mavumbini ndio mwake ,ila we si wa buckets ?