mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wenyewe tunaita dawa ya mbuuNajisogeza maeneo japo mbili tatu za kulalia
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe tunaita dawa ya mbuuNajisogeza maeneo japo mbili tatu za kulalia
Hahahhah itakuwa jamani sio kwa picha hiyoLabda na yenyewe ina hangover [emoji28][emoji28][emoji28]
Dawa ya mbu ndio beer mbili tatu za kulaliaWenyewe tunaita dawa ya mbuu
Ova
Ahh ukilewa mmbu hata a kungate vp husikiDawa ya mbu ndio beer mbili tatu za kulalia
HahahahaUngenisoma ile siku nilichoongea ungenielewa kabisa
Niko kwenye himaya yako katibuDah mzingaaa wa kwanza tumeukataaa nmesahau kukutupia picha uji nafsi
Chkuaaa hii ingine nataka itoa sealed [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 923793
Niko kwenye himaya yako katibu
Katibu himaya yake ni mitaa ipi ?Niko mtaani kwako katibu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro! Niko naramba ramba tu hapa! Wee weita, leta kama tulivyo!!! Na Wee binti, njoo karibu na mimi hapa, hivi kumbe hunijui! Mimi ndio bwana tupatupa, huyu hapa Rafiki yangu saana, anaitwa bwana okota okota! Sasa ni uamuzi wako, ufuuate nyuki ule asali au ufuate inzi ule mavi he he he!!! Wee jikoni!!! Leta kichwa ya mbuzi hapa haraka, usisahau pilipili kichaaa!!!
Nmekuja mbweni hku usalama Nna Kimeo kna mtu nammalizia kazi yake alafu mwanamama ana ngenga sana!Niko mtaani kwako katibu
Kna mwanamama nlimuzia yale mambo yetu anadai imebuma ngj tumuweke Sawa asije akatuitia piraaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] maana anapenda kesi sana hyuNiko mtaani kwako katibu
Hahahaha, katisha mtoto wa mjini KatibuKino kama yote
Nyie watu ,mko mnatembea sanaNiko mabibo sasa
Atakuwa mpare huyoKna mwanamama nlimuzia yale mambo yetu anadai imebuma ngj tumuweke Sawa asije akatuitia piraaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] maana anapenda kesi sana hyu
Ova