Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Duh leo sijalipa kodi kbsa nlikuwa nmeenda mwarusembo hko nmepatikana kuna mamwinyi balaaa
Soon naanzisha safari 2 3 4 za kuniweka Sawa niko hpa manyanya wakulima bar nataka nifanye yngu

Ova
Duu si karibu kabisa na Kimanzichana?
 
Kino kna vimanyunyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vibar vyote vmefungwa shyt
Hpa hkn jinsi ni jinsi ni kwenda home tu

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23]mida ya cha alfajiri inakaribia katibu... Wahi...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…