Shikamoo
Code nilitoa mbona panda juu utaona picha yangu nilipoMarhaba shunie kwani wewe uko wapi?toa code basi
Code nilitoa mbona panda juu utaona picha yangu nilipo
HahahahahView attachment 928845
Nilisema kihome zaidiShunie kweli mpaka nipande juu???sawa nnapanda
Nilisema kihome zaidi
Hahhahahaha kijitonyamaSawaa, sasa home tuma ata postcode basi tuseme tupo jirani unaweza kujishauri kutokaa
Dah nmeingia chakike nmekaribishwa kiwanja kimoja hapa mikocheni nyumbani kwa mtu ila nashangaaa nyagi,safari,hakuna,kna Heineken na WindhoekUmenoga sana kweli aisee, naapa kwa niaba ya Mayor wa Mbabane hapa Swaziland.
Hivi unafikiri naweza ku-pretend wakati hapa ugenini kuna vifaa vinavyopendwa. Nikisema umenoga namaanisha
Hahhahahaha kijitonyama
Ndio wapi hapo jamaniHa ha basi mimi nipo hapa ngalawa, serious
Nimewabadilishiaaa Gia angani nmeagiza mzinga walevi tuna mbinuHahhahahaha kijitonyama
Ndio wapi hapo jamani
Hapo panaitwa sofan auHapa karibu na kanisa la kkkt
We kiboko
Wamejaza Heineken windhoek, safari nyagiWe kiboko
Hapo panaitwa sofan au