Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

20181110_194631.jpg

ya bariiiiiidi, unalewa kesho.
 
Umenoga sana kweli aisee, naapa kwa niaba ya Mayor wa Mbabane hapa Swaziland.

Hivi unafikiri naweza ku-pretend wakati hapa ugenini kuna vifaa vinavyopendwa. Nikisema umenoga namaanisha
Dah nmeingia chakike nmekaribishwa kiwanja kimoja hapa mikocheni nyumbani kwa mtu ila nashangaaa nyagi,safari,hakuna,kna Heineken na Windhoek
Hatuelewielewi

Ova
20181110_195338.jpg
20181110_195322.jpg
 
Back
Top Bottom