Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 929471
UNLOCKED
Mwenyekiti# kilingeni umebanwaSalamuni toka kilingeni Msata.... Nimewamiss wote...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yeah katibu kidogo anga limechafuka.. Tunaweka mambo sawa
Karibuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mamake walevi hamna hata hangover na mpo macho wengine mnajiaandaa kwenda na kanisani,mamake nimewainulia mikono.
Na ndio maana tunaongoza kwenye kuchangia pato la taifa... Walevi wote mikono juu... Nawatabiria wote kufika mbinguni [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]Mamake walevi hamna hata hangover na mpo macho wengine mnajiaandaa kwenda na kanisani,mamake nimewainulia mikono.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji123]Na ndio maana tunaongoza kwenye kuchangia pato la taifa... Walevi wote mikono juu... Nawatabiria wote kufika mbinguni [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Nko na kasichana nyagi nakakata naweka akili SawaMamake walevi hamna hata hangover na mpo macho wengine mnajiaandaa kwenda na kanisani,mamake nimewainulia mikono.
AsanteKamanda mimi nakulaga mmea na shots mbilli tu siyo mnywaji kihivyo yaani bia huwa zinanizingua kinoma,nipo na mmoja anangania kuendesha arudi kitaa nimemyanganya funguo afu mkilewa wabishi sana mamake.Karibuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Kumbukeni kubakiza sadaka tu.Na ndio maana tunaongoza kwenye kuchangia pato la taifa... Walevi wote mikono juu... Nawatabiria wote kufika mbinguni [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Defo man,true dat.[emoji2][emoji2][emoji2]walevi sio wachoyo wala wapunji ndio maana wanabarikiwa
Hahahaha mm mbn sio mbishi tena nkiwa tungi umakini unaongezeka ahh ngj niongeze nyagi kbwa naona valve zimefunguka[emoji23] [emoji23]AsanteKamanda mimi nakulaga mmea na shots mbilli tu siyo mnywaji kihivyo yaani bia huwa zinanizingua kinoma,nipo na mmoja anangania kuendesha arudi kitaa nimemyanganya funguo afu mkilewa wabishi sana mamake.
Karibu na kwa mkonyi
Ova
mida ya wanga iyo. izi pombe na zilaaniweWazimua mkuu?au ndio unalianzisha?
Nakuja Swaziland tufe woteUmefanya leo nilewe mapema halafu nikalala nikafa. Sasa hivi ndiyo naamka