Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mamake walevi hamna hata hangover na mpo macho wengine mnajiaandaa kwenda na kanisani,mamake nimewainulia mikono.
Na ndio maana tunaongoza kwenye kuchangia pato la taifa... Walevi wote mikono juu... Nawatabiria wote kufika mbinguni [emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Karibuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
AsanteKamanda mimi nakulaga mmea na shots mbilli tu siyo mnywaji kihivyo yaani bia huwa zinanizingua kinoma,nipo na mmoja anangania kuendesha arudi kitaa nimemyanganya funguo afu mkilewa wabishi sana mamake.
 
Hahahaha mm mbn sio mbishi tena nkiwa tungi umakini unaongezeka ahh ngj niongeze nyagi kbwa naona valve zimefunguka[emoji23] [emoji23]
Hii kasichana kwishneyy

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…