Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhaaMwambie nikinywa maji namuona kweny glasi
HahahahahahKuna watu mwanangu wana hadi uwezo wa kuingia kitandan saa mbili, mi tofauti na adhana kitakachonitoa hapa ni huyu mhudumu aniambie mi ndo naondoka
Shunie slim flani hivi.
Huyu Mtoto unawwza kula gambe usilewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abadilike ili mda wote washinde wote sebuleni kugombea rimoti
Mzee wa vibonge shikamooAsee kumbe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kigetogeto
Movie + Tungi
Have a nice Sunday wachangiaji Pato wezangu
Huu uzi bola mpaka mwaka 2030 wajukuu zetu wataendeleza kupost vyao[emoji1] [emoji482] View attachment 930150
Hahahaha, kwa picha ile nimebadili mawazo ,marhabaa bibie hujamboMzee wa vibonge shikamoo
Sio kibonge mie
Hahaaa kila mtu anatakiwa acheze namba yake hapo nd itakua hakuna kununiana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka
Maeneo yapi k'nyama kubwaPande za kijitonyama mzee baba
Ova
Kugonga haya mambo si mchezoKigetogeto
Movie + Tungi
Have a nice Sunday wachangiaji Pato wezangu
Huu uzi bola mpaka mwaka 2030 wajukuu zetu wataendeleza kupost vyao[emoji1] [emoji482] View attachment 930150
So fun@nko na mwandishi nguli wa mwananchi---- Dah ila hapa kipindi cha palikuwa panavamiwa sana na wazee wa kazi maana kna tabia bar zikijaa kna mtu anatoa mtonyo wazee wa kazi haoo wnakja kpora[emoji23] [emoji23] nshakoswa hpa na masaiMaeneo yapi k'nyama kubwa
Miti mrefu kwa mbele kdg kama unaelekea mabatiniMaeneo yapi k'nyama kubwa
Hahahaha, wazee wa lala chiniSo fun@nko na mwandishi nguli wa mwananchi---- Dah ila hapa kipindi cha palikuwa panavamiwa sana na wazee wa kazi maana kna tabia bar zikijaa kna mtu anatoa mtonyo wazee wa kazi haoo wnakja kpora[emoji23] [emoji23] nshakoswa hpa na masai
Ova
Ahhh wekeni sim wallet mezani sitakiHahahaha, wazee wa lala chini