Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Best mzima pole karibu hiiView attachment 932543
Hakuna bomu hapo bia na nyagi unacheua safi
Hahahaha, best unanitia kiu,Nina kimeo cha kuongea na watu muda huu ,Niko full kiu hapa
Ahsante ,best
Usijali ukimaliza ndio muda muafaka
Hazina shida kabisa.sema hutakiwi kunywa Kama hujalaHakuna bomu hapo bia na nyagi unacheua safi
Hahahaha, best mm nyagi siwezi kuchanganya,nalinywa kavu kavu
Hahahahahah wewe na mrangi siwawezi
Sehemu Fulani hv ....ugimbi mdg mdgView attachment 928959[/QUOTEMkuu wangu wapi hapo? Maana panaonekana pametulia sana.
Kitu konk[emoji483] View attachment 903726
Hapo kwenye ukuta wa jamaa kauandika marufuku kukaa hapa tumekaa kwa nguvu ya bia na mwandikaji tunamtandika bia
Hii sijawai test sababu ni team nyagi Ila nitestWanywaji wa k-vant wanaongezeka mdogo mdogo wanaibrand vizuri sana hii kitu
Mi mwenyewe sijawahi kuitest asee ila nimeshika chupa mpya ya kvant nimepata msisimko flani hivi wameipack vizuri.... naanza kushawishika kujaribu wikend hiiHii sijawai test sababu ni team nyagi Ila nitest
Hahahahha we mzee sasa test iliulete mrejesho nahisi alhamisi hii nitatest hiyo chombo ngoja nitafute chaka zuriMi mwenyewe sijawahi kuitest asee ila nimeshika chupa mpya ya kvant nimepata msisimko flani hivi wameipack vizuri.... naanza kushawishika kujaribu wikend hii
Why Not? [emoji482][emoji482]Hahahahha we mzee sasa test iliulete mrejesho nahisi alhamisi hii nitatest hiyo chombo ngoja nitafute chaka zuri
Am going to test it because of it's bottleWhy Not? [emoji482][emoji482]View attachment 932890