Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hapo kwenye ukuta wa jamaa kauandika marufuku kukaa hapa tumekaa kwa nguvu ya bia na mwandikaji tunamtandika bia
"Nguvu ya gambe hio"

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio nazinduka natafuta pa kutoa loki mida hii
Duh nmeingia na zinga langu kbsa backup
Saa kumi hakuna kulala maana saa 12 natakiwa kwenda sehemu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa unafanya Je kutoaaa lock

Ova
 
Duh nmeingia na zinga langu kbsa backup
Saa kumi hakuna kulala maana saa 12 natakiwa kwenda sehemu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa unafanya Je kutoaaa lock

Ova
Duu nashuka bondeni hapo stand kwa mama muuza nikamgongee aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku tulirudi mitungi midaa kma hii
Ahh tukampigia sim mangi atokee tuendelezee ahh mangi akasema hawezi amkaa kachkaa,ila nawapeni ruhusaa vunjeni kufuli ingieni mjisevieee [emoji23] [emoji23]
Fastaaa kufuli lukabetuliwaa tulikaa pale mpk saa moja na nusu tunapiga mitungi
Mpk mwenyewe akaja [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…