Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kama sio kuwa na wazushi tungeanzia kwa Azizi Ali kisha kituo hadi kituo mpaka maskani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lzma nipite kisuma Nna Kimeo cha 4000/ cha muda sana

Ova
 
Kisuma...
Police baracks ....
Liquid.....
Kwa mangi Ratiba hyooo ya leo

Ova
 
Hahahahahaha leo naazimisha miaka 37 ya kulipa kodi kwa kunywa pombe maadhimisho yatakuwa bundesliga bar nyasaka kuanzia saa nne usiku mpaka muda wa serikali
Nitakuwa nawe kiroho kwenye maadhimisho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…