Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wkt mwingn mfungwa hachagui gereza[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova

K-vant mwanaume kaka kuliko konyagi,sijui sabb nmeamka na hang-over?
 
Hata mimi dogo langu alikujaga dar kipindi flani alikuwaga anashangaa yaani kila nkirudi chakari ila kumi na mbili nshang'oa nipo kazini, nilikuwa nampa kila atakacho under condition kuwa maisha aliyoyakuta huku yaishie huku ni yangu na hayamhusu mtu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wkt mwingn mfungwa hachagui gereza[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Kuna siku nilikwenda kuzika kijijini huko hawakuwa na bia zaidi ya Ze kiki nikapambana nazo hii bia sijui bado ipo
 
Hata mimi dogo langu alikujaga dar kipindi flani alikuwaga anashangaa yaani kila nkirudi chakari ila kumi na mbili nshang'oa nipo kazini, nilikuwa nampa kila atakacho under condition kuwa maisha aliyoyakuta huku yaishie huku ni yangu na hayamhusu mtu
Wanasema sisi walevi lkn mapema sana asubuhi ndukiii [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ova
 
DDO
(Daily Drinking Officers ) mtakao kuwa karibu au kuwepo eneo la msasani peninsular kesho mida ya jioni, karibuni sana pale Police Mess tupate chakula ya wazee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…