mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku poa sana tunapambana na riziki ya leo. Hahahahah kama kawaida usisahau akiba ya mizunguko
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku poa sana tunapambana na riziki ya leo. Hahahahah kama kawaida usisahau akiba ya mizunguko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu leo nmeamka na k-vant,
Lakini mi mpenzi wa konyagi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wkt mwingn mfungwa hachagui gereza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Amina mkuu hapa ndiyo nazimua mbili niingie kazini nikiwa njemaSio mwisho ni utimilifu wa dahari[emoji848][emoji23]
Kuna siku nilikwenda kuzika kijijini huko hawakuwa na bia zaidi ya Ze kiki nikapambana nazo hii bia sijui bado ipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wkt mwingn mfungwa hachagui gereza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Wanasema sisi walevi lkn mapema sana asubuhi ndukiii [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata mimi dogo langu alikujaga dar kipindi flani alikuwaga anashangaa yaani kila nkirudi chakari ila kumi na mbili nshang'oa nipo kazini, nilikuwa nampa kila atakacho under condition kuwa maisha aliyoyakuta huku yaishie huku ni yangu na hayamhusu mtu
Ipo kiaina baadhi ya sehemuKuna siku nilikwenda kuzika kijijini huko hawakuwa na bia zaidi ya Ze kiki nikapambana nazo hii bia sijui bado ipo
Ipo kiaina baadhi ya sehemu
Ova
Nataka niwashushe haooo wazaramo kwa mangi sahv [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nitaitafuta nipige
Inaonekana Mangi yupo peace sanaNataka niwashushe haooo wazaramo kwa mangi sahv [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ova
View attachment 935480
DDO
(Daily Drinking Officers ) mtakao kuwa karibu au kuwepo eneo la msasani peninsular kesho mida ya jioni, karibuni sana pale Police Mess tupate chakula ya wazee!
Shkran sanaDDO
(Daily Drinking Officers ) mtakao kuwa karibu au kuwepo eneo la msasani peninsular kesho mida ya jioni, karibuni sana pale Police Mess tupate chakula ya wazee!
Shkran sana
Ova
Wanauzaje bia hapo sahv policeHahahah Mkuu wewe ni certified DDO
Nataka niwashushe haooo wazaramo kwa mangi sahv [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ova
View attachment 935480
Wanauzaje bia hapo sahv police
Bei zetu za kampuni au Chama
Tuje tunywe kreti
Ova