[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha imenikumbusha miaka ya nyuma kidogo huko Kijijini nilienda Kwa kabinti pamoja (Kipindi cha likizo) kaliniingiza geto kwake,Sasa baada ya kazi kufanyika muda wa kuondoka sababu ya Giza na uoga uoga nikavaa ndala zisizo zangu.Nafika home najikuta nimevaa vindala vimechakaa.Dah nikaona msala huu.Ikabidi nisingizie Kwa mother asubuhi kuwa jana tulienda kuangalia TV Kwa Fulani Sasa tulikuwa wengi wakati wa kutoka watu wamenibadilishia ndala.Mama akanielewa
Vinakwendraa tyu tumboni, bila effect ubongoni[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi vidudu silewagi
Imagine na nyie mngekuwa na TV[emoji1]Hii picha imenikumbusha miaka ya nyuma kidogo huko Kijijini nilienda Kwa kabinti pamoja (Kipindi cha likizo) kaliniingiza geto kwake,Sasa baada ya kazi kufanyika muda wa kuondoka sababu ya Giza na uoga uoga nikavaa ndala zisizo zangu.Nafika home najikuta nimevaa vindala vimechakaa.Dah nikaona msala huu.Ikabidi nisingizie Kwa mother asubuhi kuwa jana tulienda kuangalia TV Kwa Fulani Sasa tulikuwa wengi wakati wa kutoka watu wamenibadilishia ndala.Mama akanielewa
Huo mzigo vipi sijaujaribu habari yakeKuna kiboko yake sasa inaitwa Pilsner King buku Jero tuu,na ukinywa 3 ushamaliza kila kitu.
Huu ni hatari sana Mkuu,embu jaribu weekend hii uone moto wake.Huo mzigo vipi sijaujaribu habari yake
Teh teh teh nashukuru Mungu Kijiji kizima TV zilikuwa mbili tuImagine na nyie mngekuwa na TV[emoji1]
Safari inafoka moshi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu ratibu acha kucheka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa wale wanaosema Biblia imekataza pombe watuache Bwana Yesu Mwenyewe alikuwa mdau maana asingekuwa mdau asingesema maneno haya.
Mathayo 11:18-19
"Maana Yohane alikuja ,Hali Wala hanywi ,wakasema; yu na Pepo.Mwana wa Adam alikuja, akila na kunywa,wakasema mlafi huyu na mlevi,rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana ina Haki kwa kazi zake"
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Andikoo hilooo imenifanyaaa niongezee speedd
Ova
Imenifanyaaa niwe hvi naendlezaaa bdoMathayo 11.18-19 imenikosha sana leta gambe hapa
Imenifanyaaa niwe hvi naendlezaaa bdo
Itabdi mstari huo nimuoneshe shemela wenu[emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 936931View attachment 936932
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna budi mkuu tena msomehe Kwa harufi kubwa atakuelewa tu
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijawahi kuzima mapema Kama Leo, usiku mwema wadau kitanda kinanihitaji , ila aliyegundua jagermaster atakuwa muuaji
Umefanyaa maamuzi magumuuSijawahi kuzima mapema Kama Leo, usiku mwema wadau kitanda kinanihitaji , ila aliyegundua jagermaster atakuwa muuaji