Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #7,521
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha imenikumbusha miaka ya nyuma kidogo huko Kijijini nilienda Kwa kabinti pamoja (Kipindi cha likizo) kaliniingiza geto kwake,Sasa baada ya kazi kufanyika muda wa kuondoka sababu ya Giza na uoga uoga nikavaa ndala zisizo zangu.Nafika home najikuta nimevaa vindala vimechakaa.Dah nikaona msala huu.Ikabidi nisingizie Kwa mother asubuhi kuwa jana tulienda kuangalia TV Kwa Fulani Sasa tulikuwa wengi wakati wa kutoka watu wamenibadilishia ndala.Mama akanielewa