captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Portable spirit[emoji483] [emoji483][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndy starehe yetu mzee baba
Unapiga tungi kiroho Safi no kwakwara na mtu full upendooo
Ova
Watutambue kama walipa kodiUzi una mwezi mmoja tu tangia ianzishwe ila imekuwa ndefu balaa.
Lakini pombe inaleta watu pamoja... Wote ni WALEVI bila kujali kanywa pombe ya aina gani... Akinywa
Balimi..............ataitwa Mlevi
Serengeti........ataitwa mlevi
Gongo.............ataitwa mlevi
Dompo.....................mlevi
Wine.....,.,.................mlevi
Bigwa......................mlevi
.
.
.
Na kadhalika
Unaeka na kadhalika bila kuipa heshima safar kwe ye hio main list mkuuUzi una mwezi mmoja tu tangia ianzishwe ila imekuwa ndefu balaa.
Lakini pombe inaleta watu pamoja... Wote ni WALEVI bila kujali kanywa pombe ya aina gani... Akinywa
Balimi..............ataitwa Mlevi
Serengeti........ataitwa mlevi
Gongo.............ataitwa mlevi
Dompo.....................mlevi
Wine.....,.,.................mlevi
Bigwa......................mlevi
.
.
.
Na kadhalika
Watutambue kama walipa kodi
Ova
Ukiwa Moshi hakuna duka utakosa bia.Umeshalianzisha kwa mangi nini[emoji41]
wengine after church hatua kadhaa tu wameshaanza,mapema kabisa,bia tamu aiseeUmeshalianzisha kwa mangi nini[emoji41]
wengine after church hatua kadhaa tu wameshaanza,mapema kabisa,bia tamu aisee
Hii location kama Arusha vile,apo ipatikane na nyama choma ya kutosha ,aiseeNimeanza hiviView attachment 938407
Ukiwa Moshi hakuna duka utakosa bia.
Wachaga hatari sana
Hii location kama Arusha vile,apo ipatikane na nyama choma ya kutosha ,aisee
Hivi hii sehem ni wapi kwa hapa arusha coz kama vile napafaham faham hiviNimeanza hiviView attachment 938407
Hivi hii sehem ni wapi kwa hapa arusha coz kama vile napafaham faham hivi
Wahudumu wa baa huwabandui kweliMmja wapo mm sina time na dem ni kuvesha tu kikubwa stimu
Ova
Pombe ya Jumapili ni ya tofauti mnooo. Tam sanaa . Daah! Sijui nitaacha lini mimi.