Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
YenyeweKitu cha mbege au ni macho yangu yana nilaghai ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YenyeweKitu cha mbege au ni macho yangu yana nilaghai ?
MikahawaniHapo ni wapi mamii?
Kwema wadau huko mlipo?.Umeshalianzisha kwa mangi nini[emoji41]
Mikahawani
Mi nilijisahau ndio napiga msosi sasa karibuBaada ya msosi tunaendelea View attachment 938479
Mi nilijisahau ndio napiga msosi sasa karibuView attachment 938489
Unalijuaa chimbo la wanaijeria blck41 Wana kibar Chao kikosi kama nyumba huwezi jua kama Wana ki lounge ndani ila hakina Jina nje...[emoji3] [emoji3]
Mkoa upi!?/ Jiji lipi !?
Naona kakombatiwa kbsa [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 938471Juice ya Kijani.
Baada ya msosi tunaendelea View attachment 938479
Poa poa, ngoja nipambane nihame kiwanja nikatafute wadau.Asante mwenyewe nipo hoi nimeamua kuyeyusha na Smirnoff
Ha ha , Katibu wewe unawaweza haoUnalijuaa chimbo la wanaijeria blck41 Wana kibar Chao kikosi kama nyumba huwezi jua kama Wana ki lounge ndani ila hakina Jina nje...
Bdaye sogeaa pale nataka kwenda banana nao[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema wna mikelele sana wapopo wale si madem wala mamen
Ova
Katibu upo imara?.Unajuaa sana wewe
Ova
Mm si mzushi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha , Katibu wewe unawaweza hao
Naona kakombatiwa kbsa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asichomoke
Ova
Unabadili GiaHahahah mzee wa Ova . Sasa wacha nipige whisky 🥃 then nile.
Hiyo kali , wapopo wengi magumashiMm si mzushi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gia siku ya kwanza kwenda pale nkawmbia unamuona jmaa yangu hyu yuko uhamiaji hpo basi wakawa wa pole [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanauza bia 4000/ mm na uzi wa kwa bei elekezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Geneva of Africa chuga
Unabadili Gia
Ova