Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji3] [emoji3]
Unalijuaa chimbo la wanaijeria blck41 Wana kibar Chao kikosi kama nyumba huwezi jua kama Wana ki lounge ndani ila hakina Jina nje...
Bdaye sogeaa pale nataka kwenda banana nao[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sema wna mikelele sana wapopo wale si madem wala mamen

Ova
 
Ha ha , Katibu wewe unawaweza hao
 
Ha ha , Katibu wewe unawaweza hao
Mm si mzushi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gia siku ya kwanza kwenda pale nkawmbia unamuona jmaa yangu hyu yuko uhamiaji hpo basi wakawa wa pole [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanauza bia 4000/ mm na uzi wa kwa bei elekezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Hiyo kali , wapopo wengi magumashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…