Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kweli kuna sura zimeharibiwa na ngumu kumeza japo ni dawa moja nzuri sana mwilini
 
Nimeiona inapigwa promo mkuu na kesho naanza nayo wakati wa game ya Liver na tott nahisi ntalingana na kina salah kisoka
Hahaahhaa nakushauri piga tatu tuu then uendelee na nyingine ukikomaa nayo mwanzo mwisho itakufanya mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…