More than that Bro... [emoji23][emoji23][emoji23]I mean kama tilapia [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
Positive thinking.. [emoji851][emoji851]Nina kiu hela sina kuna mshkaji kaniita najizungusha akili inaniambia niacha tu kujidanganya ngoja nika unlocks
Nenda tu mkuuNina kiu hela sina kuna mshkaji kaniita najizungusha akili inaniambia niacha tu kujidanganya ngoja nika unlocks
Nina kiu hela sina kuna mshkaji kaniita najizungusha akili inaniambia niacha tu kujidanganya ngoja nika unlocks
Positive thinking.. [emoji851][emoji851]
.Nenda tu mkuu
Kwa sisi wazee wa tungi tuna hela hatuna lazima tulewe tu[emoji23] [emoji23]
Kingine kwenye tungi unaweza Pata deal la maana kesho ukamka fresh
Ova
Nimepata mzigo wadau, sitakuwepo hewani kwa muda Samahani kwa usumbufu.nitakuwa hewani baada ya kushusha mzigo [emoji125][emoji125]
Hahaha, hapo asubuhi kichwa kinagonga mbaya! Pole sana mzeeKula unaezaje mzee kitu kina hamira ya kuzidi tumbo lilijaa nikitaapika natapika ndizi na nyama nzima nzima na nilizitafuna
Usicheke kamanda hapa mzigo upo bafuni.. [emoji851][emoji851][emoji849][emoji849][emoji39][emoji39][emoji39][emoji115][emoji144]
Nawatendea haki yao [emoji56][emoji56][emoji144][emoji144][emoji144][emoji39][emoji115]
Kabizi funguo kwa mlinzi wa hapo ili uwe safe.Now I'm in ze light trak[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 867848
Dah pole sana mdau shuka fasta Msata ukule mamboKabizi funguo kwa mlinzi wa hapo ili uwe safe.
Ila nimekaa kwa huzuni sina rafiki.kwenye mji wenu huu wa bashite. Bora.masaa yaende nimalize kazi niondoke zangu niende kwetu chuga.
Amechoka kaingia tena bafuni namsubiriaTupe matokeo ya mechi