Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Karibu kk yangu nipo hapa now nakula ndizi na koffi olomide anaplay kwa video.hii sehemu ni club ina kila kinywaji kuanzia bia mpaka wanzuki.huyu mwekezaji kabuni sana kaweka na private corner unagonga bila mtu kukuona na guest ipo hapa na micharuko kama kawa
Tegeta kwa ndevu mi natuliaga hapo pk nagonga kongoro namimina kilauri
 
Kweli babaako yaani ukiwa na buku mbili tayari uko yechu yechu ushapendezaaaa
Mi buku mbili kirikuu kimoja sisikii kitu labda virikuu saba ndio naanza kutoa loku[emoji109][emoji109][emoji23][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]hii mada hii naigawa bure wallah
 
Kweli arif ila iwe kwa siri sana maana watu wanadisi ndizi wakati zinatutoa loku fasta fasta na kupunguza gharama

Vipi siumesema hatuonekani?
 
Mwana nipe contact zako mm nazungusha semi ya alistair nikipita ara nikucheki unipe machimbo ya ndizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…