Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu ukishalewa unajikuta una approve tu bila hata kusoma! je inakuaje mtu anamaliza mshahara kwa siku moja bar. Je unamshauri nini mtu kama huyo?
Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee

Ova
 
Mwanaume kaagiza balimi wakati mwanamke anagiza Windok, Heineken!!! Hii ni sawa kweli?
 
Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee

Ova

Endlea kulifanyia utafiti wapo ambao wakinywa pombe hata kama kaficha pesa chini ya jiwe ataifata tu. Pia wanakuwa wabishi kuondoka bar. Inakuaje kwa hili Mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: naa
Ngoja nitende haki yake konyagi

Ova
View attachment 868937
Usiniringishie tena nimeshaanza kulipa kodi mkuu.
15371916672501113969603.jpg
 
Endlea kulifanyia utafiti wapo ambao wakinywa pombe hata kama kaficha pesa chini ya jiwe ataifata tu. Pia wanakuwa wabishi kuondoka bar. Inakuaje kwa hili Mkuu?
Pombe si unajua kilevi kinabadirisha mfumo wote wa ubongo

Kwalio na vichwa endeleeni ila kama inakusabaishia matatizo nakushauri usinywe kabisa. Inapunguza na kushusha personality ya mtu.
 
Ah kawaida tu mkuu
Kweli kwenye pombe lazima ukutane na balaa
Kuna jamaa mmja alipiga tungi mlimani cty akawa hoi jamaa aanataka kutoka akawa haoni Gari anadai kaibiwa kumbe mitungi
Haoni Gari lake [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaona bapa limeishaaa ngoja nkaongeze lingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20180917_165153.jpg
 
Ah kawaida tu mkuu
Kweli kwenye pombe lazima ukutane na balaa
Kuna jamaa mmja alipiga tungi mlimani cty akawa hoi jamaa aanataka kutoka akawa haoni Gari anadai kaibiwa kumbe mitungi
Haoni Gari lake [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Tungeweza kujiwekea kiasi cha mwisho pombe sio mbaya! But unakuta mtu anakunywa hadi asubuhi hata kwenda kazini anasahu. Unashangaa unapewa barua ya kuachishwa kazi sababu ya pombe. Kama una formula nzuri ya matumizi iweke wazi hapa.
 
Hapo kujielewa na kujitambua
Wanaotuizia wanatumbia tusi abuse pombe [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Alafu waache kutuita walevi kuanzia watuite walipa kodi wachangiaji kodi wakubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Kinacho nichukiza wanatuita majina mabaya na kutupa sifa mbaya huku ukiangalia maisha yao na kazi zao unasikitika kimya kimya.
Hivi kama wewe ni mvivu pesa utatoa wapi?!.
 
Back
Top Bottom