Mkuu ukishalewa unajikuta una approve tu bila hata kusoma! je inakuaje mtu anamaliza mshahara kwa siku moja bar. Je unamshauri nini mtu kama huyo?
Kunywa pombe kwa malengo na mipangoMkuu ukishalewa unajikuta una approve tu bila hata kusoma! je inakuaje mtu anamaliza mshahara kwa siku moja bar. Je unamshauri nini mtu kama huyo?
Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee
Ova
Usiniringishie tena nimeshaanza kulipa kodi mkuu.
Pombe si unajua kilevi kinabadirisha mfumo wote wa ubongoEndlea kulifanyia utafiti wapo ambao wakinywa pombe hata kama kaficha pesa chini ya jiwe ataifata tu. Pia wanakuwa wabishi kuondoka bar. Inakuaje kwa hili Mkuu?
Unahakika hawanywi?.Kwa hiyo mmeamua kujianzishia Uzi kabisa na mshana kwao wote hawanywi pombe... Dr leak hii unaizungumziaje
Safi acha tulipe kodi tu changie taifa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiniringishie tena nimeshaanza kulipa kodi mkuu.View attachment 869000
Hahahaha umeona mkuuSafi hapo huchomekewi bill....
Ova
Kila mtu ana chaguo lake mkuuMwanaume kaagiza balimi wakati mwanamke anagiza Windok, Heineken!!! Hii ni sawa kweli?
Pombe si unajua kilevi kinabadirisha mfumo wote wa ubongo
Ova
Umemkata wenge hadi nimefurahi, hivi wanafikuri bila kazi hiyo pombe utaweza kuinywa?.
Ah kawaida tu mkuuKwalio na vichwa endeleeni ila kama inakusabaishia matatizo nakushauri usinywe kabisa. Inapunguza na kushusha personality ya mtu.
Alafu waache kutuita walevi kuanzia watuite walipa kodi wachangiaji kodi wakubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umemkata wenge hadi nimefurahi, hivi wanafikuri bila kazi hiyo pombe utaweza kuinywa?.
Unaona bapa limeishaaa ngoja nkaongeze lingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwalio na vichwa endeleeni ila kama inakusabaishia matatizo nakushauri usinywe kabisa. Inapunguza na kushusha personality ya mtu.
Tungeweza kujiwekea kiasi cha mwisho pombe sio mbaya! But unakuta mtu anakunywa hadi asubuhi hata kwenda kazini anasahu. Unashangaa unapewa barua ya kuachishwa kazi sababu ya pombe. Kama una formula nzuri ya matumizi iweke wazi hapa.Ah kawaida tu mkuu
Kweli kwenye pombe lazima ukutane na balaa
Kuna jamaa mmja alipiga tungi mlimani cty akawa hoi jamaa aanataka kutoka akawa haoni Gari anadai kaibiwa kumbe mitungi
Haoni Gari lake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Hapo kujielewa na kujitambuaTungeweza kujiwekea kiasi cha mwisho pombe sio mbaya! But unakuta mtu anakunywa hadi asubuhi hata kwenda kazini anasahu. Unashangaa unapewa barua ya kuachishwa kazi sababu ya pombe. Kama una formula nzuri ya matumizi iweke wazi hapa.
Kinacho nichukiza wanatuita majina mabaya na kutupa sifa mbaya huku ukiangalia maisha yao na kazi zao unasikitika kimya kimya.Alafu waache kutuita walevi kuanzia watuite walipa kodi wachangiaji kodi wakubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova