Utakua unatuangusha sana kama huna malengi na mtoko wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi ni tabia zangu kabisaa... mashoga zangu huwa wananijia na gia ya kunitoa maana kaubahiri nacho nimejaliwa [emoji38], ila sasa nikifika eneo la tukio savana 2 tu nabadili uelekeo ofa ntatoa mimi tip ntatoa mimi yaan asubuhi majuto tupu mkuu!!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji849][emoji849][emoji849][emoji57][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na vyuma hivi!!! siku hizi ni indoors tu kama ni ofa najipa mwenyewe mkuu[emoji39]
hata sijishtukii maana haijaandikwa for men's only.Hivi mwanamke kunywa pombe. Hujishtukii hata mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tujipe ofa wenyewe bana wana tusema sana.Wape wale wanywa soda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji83][emoji84]
Aikambe814180414965192 Vocha ya TIGO.
Nashukuru kwa kunitakia safari njema ila umenipa kazi wakati pombe hataki kutoa kazi?. 😁😂😁😂😁😐😑[emoji23][emoji23][emoji23]mdau safiri salama wewe sasa cheo chako ni PR, mrangi karibu
Nafasi zifuatazo bado ziko wazi
. HR
. Finance
. Lawyer nk
Naomba Finance. Experience ipo [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]mdau safiri salama wewe sasa cheo chako ni PR, mrangi karibu
Nafasi zifuatazo bado ziko wazi
. HR
. Finance
. Lawyer nk
Una Mume kweli mkuu? . Maana naamini wanawake wengi walevi huwa ni Yale mashankupe ya mjini.hata sijishtukii maana haijaandikwa for men's only.
Aikambe ndiyo nini?Aikambe
mkuu imekubali ni 500 next time utume ya 5000.814180414965192 Vocha ya TIGO.
Analeta zereu sasa huyu mwambie anipm nimpe ya 5000. Na alete mrejesho sio kwa 500.Wape wale wanywa soda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji83][emoji84]
[emoji23][emoji23][emoji23]ruksaaNashukuru kwa kunitakia safari njema ila umenipa kazi wakati pombe hataki kutoa kazi?. [emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji52][emoji58]
Naweza kuediti id nikaongezea na cheo changu kaka?.
AsanteAikambe ndiyo nini?
Hahahahaha hureeeeeUmepita bila kupingwa... Makofi tafadhali
hahah! yeah mume nnae,na ndo raha ya dunia hii mkuu, kila mtu na maono yake na choice zake, wewe kua na malaika na sisi mashankupe tunao wanaume wanaoweza kutuhimili [emoji6]Una Mume kweli mkuu? . Maana naamini wanawake wengi walevi huwa ni Yale mashankupe ya mjini.