Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mshana Jr yupo kimya. Mada zake ni mambo ya kujifunza uchawi!
.
tapatalk_1537081640835.jpeg
 
Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Tambua yafuatayo kutokana na pombe.
Migogoro ndani familia (ndoa)
Magonjwa km Ukim...
Ajali zinazoepukika.
Kuua na kupoteza future yako wewe pamoja na watoto wako.

Stay alert guys!
Hao hawajitambui.. Nimeanza kunywa mwaka 1985 wakati plisner laga ilikuwa inauzwa Tsh 30,sijawahi kupitia yote hayo...
Ukizingatia kanuni hizi tatu za pombe itakupa maendeleo heshima na marafiki
. Usijisahau wewe ni nani
. Uko wapi
. Unafanya nini
 
Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee

Ova
Yani Raha sana Story zinaenda kinoma.
 
Juzi jumamosi kunasehemu nilienda nikaa meza moja na mmama mmoja hivi, kwanza alianza kunywa castle lager kama 5 zikaisha akaagiza konyagi ndogo 1 akaimaliza akaamia kwenye safari kapiga 4[emoji4]akaona ukuda huu akaagiza konyagi saizi ya kati [emoji2] nikaona hapa nitaaibika yaani mimi nakunywa serengeti lite na tayari zimeanza kunichukua nikatoka nduku[emoji125][emoji125][emoji125] balaa.Ila yule mama ni jembe walaah [emoji23][emoji23]
Hahahahah.
 
Back
Top Bottom