Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

ALAFU UKIONA MTU AMELEWA NA ANAKUAMBIA JAMBO FULANI
MFANO LABDA MLIZINGUANA!
SASA AKAKUFATA BASI UJUE ANAKUAMBIA MAMBO YA MOYONI
YAANI BILA UNAFKI

OVA
 
Eti Ni kweli couple yako imekumbwa na yaloyoikuta couple ya dogo janja
.
tapatalk_1536926161889.jpeg
 
Kunywa pombe kwa malengo na mipango
Kwenye pombe ndy tunapeana kazi na dili
Kwenye matumizi lazima uwe na limit ya matumizi
Mfano kampani zangu tukikutana kama mtu 4 au 5 kila mmoja anazungusha round 2
Kwenye kundi,Tukitoka hapo ni mukidee

Ova
.
tapatalk_1536888334749.jpeg
 
Endlea kulifanyia utafiti wapo ambao wakinywa pombe hata kama kaficha pesa chini ya jiwe ataifata tu. Pia wanakuwa wabishi kuondoka bar. Inakuaje kwa hili Mkuu?
Kwenye msafara wa mamba kenge pia wapo
 
Back
Top Bottom