Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

hahah! yeah mume nnae,na ndo raha ya dunia hii mkuu, kila mtu na maono yake na choice zake, wewe kua na malaika na sisi mashankupe tunao wanaume wanaoweza kutuhimili [emoji6]
Sawa mkuu. Msalimie mumeo
 
hahah! yeah mume nnae,na ndo raha ya dunia hii mkuu, kila mtu na maono yake na choice zake, wewe kua na malaika na sisi mashankupe tunao wanaume wanaoweza kutuhimili [emoji6]
Jibu murua kabisa.Binafsi napenda demu wangu awe anashtua hata bia mbili au tatu hv ndo poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…