Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu hujapumzika hata kidogo.
Si umeona ngoma kwishney hapa inahitajika nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
20180917_202703.jpg
 
Karibu dada..
Ungependelea kinywaji gani...!?

Tumejaa upendo wa mshumaa hapa. Unaagiziwa pombe popote ulipo.
Humu ni wachangiaji kodi tena Inabidi hat magu atutambue hatuwezi changiaa mafeza mengi tena kwa utifuuu alafu tukachukuliwa poa[emoji23] [emoji23]

Ova
 
Back
Top Bottom