mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Safi .....usalama muhimuMe kwanza ndo Niko ya tatu,zikifika tano nachukua kvant ndogo nasepa nayo home[emoji1] [emoji1] [emoji1] View attachment 869226
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi .....usalama muhimuMe kwanza ndo Niko ya tatu,zikifika tano nachukua kvant ndogo nasepa nayo home[emoji1] [emoji1] [emoji1] View attachment 869226
Balaaa[emoji23]Leo mama na mtoto
Hahahaahaha mrangi we kibokoHatari basi hpa nemepiga chupa 3 za nyagi na mwana wngu tunataka kutoka nje kusuuizia na bia [emoji23] [emoji23] Sasa
Ova
Valeur hii pombe siitaki tena. Ilinifanya nikaumwa week hata msosi haupandi yani daaah [emoji36] [emoji36]Anza na lite umalizie na valuuu
Tayar nimeshaagiza baeee nakupenda kama jana na juziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]nakogoaaaa agiza kama ulivyo
Uwiii mtego huo labda ana mimba ya mrangi anabadilisha upepoEti kunademu kaleta simu yake nimrekebishie Akipigiwa asikii sauti. Sijui anfanya makusudi na nilivyo lewa.
Hahahaha mie napenda harufu yakeValeur hii pombe siitaki tena. Ilinifanya nikaumwa week hata msosi haupandi yani daaah [emoji36] [emoji36]
Nikiwa na stress sigusi kabisa nasikiliza nyimbo za injiliHaapa ntafute nyagi kadogooo nimaliziee
Ah mm huwa nakunywa kwa furaahaaa tu
Usinywe pombe kama una stress au matatizo
Utavurugikaaaa tu
Ova
Usijaribu kunywa pombe ukiwa na stress au matatizo fulaniNikiwa na stress sigusi kabisa nasikiliza nyimbo za injili
Mimi pombe siiwezi kabisa kakaKaribu dada..
Ungependelea kinywaji gani...!?
Tumejaa upendo wa mshumaa hapa. Unaagiziwa pombe popote ulipo.
Ngj nkachkue kasichana nkipige nlale[emoji23]Hahahaha mie napenda harufu yake
Nitakua Coach wako...Mimi pombe siiwezi kabisa kaka
Hahahahaha kasichana na bombadier jumatatuNgj nkachkue kasichana nkipige nlale[emoji23]
Ova
Safi sana kwa kampani ya hivi sikosi mudaNitakua Coach wako...
Mshana Jr your mentor
mrangi counselor
Blaki Womani your companion...
Tutaanza mdogomdogo tu..wala usiogope.
Nshachkuaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha kasichana na bombadier jumatatu