Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Napata tabu sana kunywa BALIMI katika mkoa wa DAR,,watu wananiona kama nimefulia,,kama kibaka,wanaficha simu zao,,,mbona kanda ya ziwa ,,ndio bia yenye heshima,,,Rock City utakuta safari zimeisha lakini sio BALIMI,,,,weka mikono juu na banjuka juu ,banjuka juu na balimi.
ni sawa na kunywa Pilsner Bongo...unadharaulika sehemu nyingi. ila nenda Kenya uone
 
Na Anza hivi

Ova
[emoji3] [emoji3]
20180912_180724.jpg
 
Back
Top Bottom