machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Walizifungulia kwenye jagi mzee zikafoka fuuuuuuu kama tindikali😂Banana hazifai mzee, hata kuifungua yenyewe kama siyo mzoefu inamwagika chini yote
Tokea sikuile sijajaribu tena ilikua siku ya kwanza na ya mwisho kula kitu cha ndizi(banana)
Saizi nalewa virikuu vyangu tu na valeur