mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mkuu niko hapa nakamua kimtindo alafu wale Majambazi wapo [emoji23] [emoji23]Unanitamanisha mkuu , nipo chaka
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu niko hapa nakamua kimtindo alafu wale Majambazi wapo [emoji23] [emoji23]Unanitamanisha mkuu , nipo chaka
kimara gani hii ? sijaona sehemu ina hii meza...Mida hii KimaraView attachment 901426
Hao inabidi tuwazoee tu , kuwapiga fix kuwa unakopa kama wanataka nao wakope.Mimi ndio sound zangu kwaoMkuu niko hapa nakamua kimtindo alafu wale Majambazi wapo [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 903417View attachment 903418
Nimerudi kwa mangi pale palichafuka[emoji23]Unanitamanisha mkuu , nipo chaka
Karibu sana mjumbeNinaachana na serengeti nahamia safari ndogo.
Vipi handas lake, nahitaji ngap kulewa? Me mnywaji wa wastani tu mkuu tupeane uzoefuKaribu sana mjumbe
Ova
Anza kwa kupiga 3 .....3 tu mkuu utaizoeaaaVipi handas lake, nahitaji ngap kulewa? Me mnywaji wa wastani tu mkuu tupeane uzoefu
Poa. Ntakupa mrejesho mrangiAnza kwa kupiga 3 .....3 tu mkuu utaizoeaaa
Ladhaaa nzuri sana
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulewe jamani, tulewe ,tusitegeane ,
Cc Blaki Womani @ Mrangi Mshana Jr na wengineo ,tusiangushane Furahi Day Leo