Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nipo Ibungu mabibo mwisho nalipa kodi
IMG_20181021_212834.jpeg
 
Jana si kuna sister pemben ya meza angu alikuwa kaagza nyama(The mdudu, The Hot Hot,The pig) imekaangwa inanukiwa balaa aisee c nkaenda kujoin huku nko na chupa yng ya nyagi akashndwa kunifkuza akabd aniagizie na pili pili..
Power of Alcohol[emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom