Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Muhudumu mkuu.
Ni vzuri kuwaweka karibu wahudumu hao
Maana Wana nyeti sana wanajua mambo mengi....
Ah mm nimeliamsha dude asubuhi [emoji23] [emoji23]

Ova
20181022_093715.jpg
 
Yani nakwambia mpaka inachekesha maana kila akikaa ni usingizi nina kazi ya kumwamsha tu apa alafu kila nikimuuliza kulikoni jibu lake mwnangu acha jana ilikuwa ni noma[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji28] alafu anatokwa na majasho vibaya mno!!
Anywe maji H2O ya kutosha kila mara pombe sio chai
 
Robert michael@mimi ni mpishi mzuri sanaaa kwikwikwi

Ova
 
Back
Top Bottom