Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Dodoma napakimbia soon nimekuja tu nasepa kama popo, eti mhudumu ananiuliza ninaonekana nina mawazo tatizo nini, hapa nampigisha stori za uongo tu ila hajui tayar nina bajet yake na nauli
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bulawayo kna jamaa mmja nko naye anakumbusha kisa pale kilitokeaga bar ilikuwa road kna siku ile tunaondoka pale tu kna Gari ilikosea njia ikawavaa walevi
Bar za pembezoni mwa barabara mwiko mm kwenda since then
Pia wakati wa mechi mashabiki walitaka taifa oyaoya lazima wawavamie walevi wahuni wa keko walikuwa hawafai

Ova
 
Hahaaa unanikumbusha bar ya kwa mama kamche ipo road kinyama unakunywa huku unayatazama magari, ila mi nina mbinu nyingi
 
Kuna dada mmja kufungua ki pub chke Inaitwa kifurushi pub safari ndg 1400
Pombe zote bei cheeee anasema tukajiunge kifurushi Sema mwananyamala kisiwani ndani kuna masela hko balaaa Roba nje nje
Wakati naenda hko leo lazima nimptie mwanangu dullah mbabe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anipe tag

Ova
Kule ndipo wanaishi Watu.
Ukipita huko lazima uwe na status ya kitaa lazima roba ikuhusu
 
Back
Top Bottom