mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa umewin,
Over
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa umewin,
Over
Hapo ulipo si kabla ya collobus auBasi nisikuvuruge inawezekana vi pub vya mtaani huvijui sema niende pale collubus hotel
HahhahahhaWamejaza Heineken windhoek, safari nyagi
Hakuna lazima tujiongeze wazee wa kubadili Gia angani
Ova
Hapa tunatumia formation ya 4 4 2Hahhahahha
Hapo ulipo si kabla ya collobus au
Uko hata sipajui nilijua upo sofanNo, kkkt kijitonyama ukiwa unashuka kama jengo la sayansi kuna kitimoto cha mandevu afu inafuatia ngalawa
HahahahahView attachment 928845
Nini hiyo Shualina? Heineken?
Sawa sema sofan iko wap niunge telaUko hata sipajui nilijua upo sofan
Ukiwa unatokea sayansi mbele ya collabus upande huohuo ipo kwenye cornerSawa sema sofan iko wap niunge tela
MfyuuuuuuMambo hayoooo
Shangazi nawe ni mlevi?[emoji1][emoji1][emoji1]Uko hata sipajui nilijua upo sofan
Acha kunijaza mkuu huoni kitambi cha beer hiko
Aache unafki aende mbinguniTumbo flat! Safi safi sana
KhaaaShangazi nawe ni mlevi?[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwakweli aache unafki tuAache unafki aende mbinguni
Shangazi ukishavaa lile gauni lako la chuichui basi ni mwendo wa ulabu tuuuu!![emoji1][emoji1][emoji1]Khaaa
Mpaka huku upo
Hapo mibbs kitimoto chke Balaaaaaa wamejiipa Jina lake niliendaga kitambo Sema nlikuwa maji sana
Ila kitimoto tu hapo ni shidaaa
Ova
Bado fence ni ya mchongoma [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo mibbs
Ova
Nakumbka mibbs hpo nlikuwa na jmaa yangu mmja alikuwa maji sana akaingia ladies toilet wacha alete tafrani
Ova
HahahhahhaShangazi ukishavaa lile gauni lako la chuichui basi ni mwendo wa ulabu tuuuu!![emoji1][emoji1][emoji1]