Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Naona hii sio sehemu yangu,dah! Mshana naona umekuja na style mpya lakini nayo mm,ni yale yale.
 
Wadau mlio mtwara karibuni GR7 tukitoka hapa ni Copa mpaka saa tisa tunaondoka nao wa bei zetu
 
Walevi mnamchango mkubwa sana kwa taifa letu nipeni no ndani ya kikosi
 
65866110-ace6-4c03-8414-c6f5502e6c58.jpg
homemade#Chunya
 
Back
Top Bottom